Friday, June 7, 2013

Binti wa Tanzania kunyongwa leo nchini Misri kwa kosa la madwa ya kulevya !


                                        Hapa akiwa na madawa zake alizokamatwa nazo!!

                                                               Akiwa katika pozz 

                                                         Yuko na mwanaye!!

                                                   Hapo yuko na mpenzi wake.

Alikamatwa akisafirisha madawa ya kulevya nchini Misri,anaitwa Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam.
Utata juu ya uraia wa Msichana huyu mrembo bado ni tata.

Wapo ambao wanasema msichana huyo ni Mtanzania kwa jina la Fatma a.k.a Brown Berry ambaye inasemekana anaishi Ilala jijini Dar es Salaam na kuna ambao wanasema wanamfahamu huyu binti, kuwa ni raia wa Oman aliyezaliwa Tanzania.
 
Chanzo cha kwanza kupitia Jamii Foru kiliandika, "Kwanza naanza kukukosoa mleta uzi,huyu bint sio mtanzania,ni raia wa Oman aliyezliwa tanzania,pia huyo sio mwanae hana mtoto huyu bint,na pia haishi Ilala anaishi muscat,hayo mengine sema mwenyewe,
Wewe umehadithiwa habari zake mimi namfahamu vizuri."

Kisha chanzo cha pili katika kuunga mkono chanzo cha kwanza kiliandika, "Naweza kukubalia na wewe. Ukiangalia passport yake imeandikwa kiaarabu ambapo kwa Tanzania hawatumii hiyo Lugha. Hata arrangement tu ya passport inaokujulisha kuwa si ya Tanzania. Pengine watu walisikia anaongea Kiswahili au alisema anatokea Tanzania wakajua ni Mtanzania. Swali la kujiuliza alikuwa anatoka wapi na anaelekea wapi?

Chanzo cha tatu kwa kupinga alichosema chanzo cha kwanza na cha pili nacho kikaandika, "Huyu ni mtanzania alieishi muscat lkn anajulikana hadi alipokuwa akiishi wala tusibishe, ni sawa na watanzania waliokwenda uk kutafuta maisha takriban wote wana paspot za uk lkn watanzania,huyu dada ni mtz na anajulikana msibishe."

0 comments:

Post a Comment