Tuesday, June 11, 2013

VIDEO MPYA JIKUBALI BY BEN POL



 
Video hii nilikuwa naisubiri sana, na kweli inaendana na hadhi ya audio yake, mwanzo mwisho anaonekana yeye tu, clean video isiyo na complications.simple but classic, imetengenezewa jijini arusha na producer Nisher


0 comments:

Post a Comment