Tuesday, June 11, 2013

SHABANI KADO APATA MSAIDIZI LEO COASTAL UNION


Timu ya Coastal Union imeendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao baada ya leo hii kumtambulisha kipa mpya Said Lubawa kutoka JKT Oljoro. Lubawa anasajiliwa kwa ajili kumpa usaidizi na changamoto Shabaan Kado.

0 comments:

Post a Comment