Wednesday, June 5, 2013

MAELFU YA WATU JIJINI DAR NA WAKIWEMO NA WALE MASHUHURI WAMUAGA HAYATI ALBERT MANGWEA LEO HII LEADERS CLUB






Mwili wa Marehemu Albert Mangwea ukishushwa kwenye gari kwenye viwanja vya leaders tayari kwa kuagwa

Jeneza la Albert Mangwea likiwa limebebwa tayari kwa shughuli ya kuagwa

Wanafamilia ya Mangwea wakiwa wanasubiri kuaga mwili wa mpendwa wao

Stamina, Izzo B na Dullah Spartan

Baadhi ya wana kamati ya mazishi

Wasanii wa Bongo Flava


Diamond na dada yake Queen Darleen pamoja na Mwasiti

Ally Kiba na Abdu Kiba walikuwepo katika kuaga mwili wa msanii mwenzao Mangwea

TID akitoa risala maalum kuhusu kifo cha rafiki yake kipenzi

Bongo Movie

Kamati ya Mazishi ya Albert Mangwea

Madee akiaga mwili wa Albert Mangwea

Dr Cheni akiaga

Mac Regan wa Ze Komedi akiaga

Diamond Platnumz akiaga

P Funk na TID wakiwa kwenye majonzi tele

Prof. Jay akiaga



H Baba na Pasha

0 comments:

Post a Comment