Friday, June 7, 2013

KOMBE LA DUNIA 2014-MCHUJO LEO ZIPO MECHI KALI KUPIGWA KATIKA VIWANJA MBALIMBALI

BRAZIL_2014_BESTULAYA: PORTUGAL v RUSSIA, CZECH v ITALY, BELGIUM v SERBIA
MAREKANI YA KUSINI: ARGENTINA v COLOMBIA
AFRIKA: SUDAN v GHANA, LIBYA v CONGO, DR
BONGO: MOROCCO v TAIFA STARS, JUMAMOSI JUNI 8 SAA 5 USIKU!

MBALI ya Wenyeji Brazil na Japan, ambao Juzi walikuwa Nchi ya kwanza Duniani kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 zitakazochezwa Nchini Brazil, Nchi nyingine zote bado zipo kwenye Mchujo kwenye maeneo yao kuwania kwenda Brazil na leo Mechi za Mchujo zinaendelea kwa Kanda za Ulaya, Mareakani na Afrika.
ZIFUATAZO NI RATIBA ZA MECHI ZA WIKIENDI HII:
KOMBE LA DUNIA 2014-MECHI ZA MCHUJO:
[SAA za BONGO]
NCHI ZA ULAYA
Ijumaa Juni 7
19:00 Finland v Belarus
19:00 Azerbaijan v  Luxembourg
19:00 Armenia v Malta
19:30 Latvia v Bosnia And Herzegovina
21:00 Liechtenstein v Slovakia
21:15 Moldova v Poland
21:15 Croatia v Scotland
21:30 Montenegro  v Ukraine
21:30 Albania v Norway
21:45 Lithuania v Greece
21:45 Belgium v Serbia
21:45 Ireland v Faroe Islands
21:45 Austria v Sweden
21:45 Czech Republic v Italy
22:00 Iceland v Slovenia
22:45 Portugal v Russia
Jumamosi Juni 8
18:30 Switzerland v Cyprus
KANDA NCHI ZA MAREKANI YA KUSINI
Ijumaa Juni 7
23:00 Bolivia v Venezuela
Jumamosi Juni 8
1:05   Argentina v Colombia
3:10   Paraguay v Chile
5:10   Peru v Ecuador
NCHI ZA AFRIKA
Ijumaa Juni 7
18:30 Libya v Congo, DR
20:00 Sudan v Ghana
Jumamosi Juni 8
16:00 Uganda v Liberia
16:00 Zambia v Lesotho
16:00 Botswana v Ethiopia
17:00 Central African Republic v South Africa
17:30 Gabon v Congo
18:00 Angola v Senegal
19:30 Gambia v Ivory Coast
19:30 Sierra Leone v Tunisia
20:30 Cape Verde v Equatorial Guinea
23:00 Morocco v Tanzania
MAREKANI YA KASKAZINI
Jumamosi Juni 8
4:30   Jamaica v United States
5:00   Costa Rica v Honduras
5:00   Panama v Mexico

0 comments:

Post a Comment