Wednesday, June 12, 2013

KIBARUA CHA ASKARI DAR CHAOTA NYASI KWA KOSA LA PICHA ZA UTUPU


WP Amisa
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.

 Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova amesema, Amisa amefukuzwa kazi kwa kuwa amekiuka maadili ya Jeshi hilo kwa kitendo chake cha kupiga picha za utupu zilizoonekana katika mitandao.

0 comments:

Post a Comment