>>SAMATTA & ULIMWENGU KUJIUNGA NA KIKOSI LEO!!
PATA HABARI KAMILI:
Taifa Stars imewasili hapa Marrakech,
Morocco leo- Juni 3 mwaka huu tayari kwa mechi ya mchujo ya Kombe la
Dunia dhidi ya wenyeji Morocco itakayochezwa Jumamosi- Juni 8 mwaka huu.
Mechi kati ya Stars na Morocco itachezwa kuanzia saa 3 usiku kwa saa za hapa wakati nyumbani itakuwa ni saa 5 usiku.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Marrakech, Morocco
0 comments:
Post a Comment