Mmoja wa member wa band iliyowahi kutamba sana miaka ya nyuma na nyimbo zao kama "yako wapi mapenzi, mama vanessa na zinginezo, ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa "usilie". video hiyo imefanyika nchini sweden ambapo yupo huko kwa hivi sasa.
Queen Darlen Amkana Alikiba Kweupe
7 years ago
0 comments:
Post a Comment