Tuesday, June 4, 2013

ALIYEKUWA GOLIKIPA WA JKT OLJORO SAID LUBAWA AJIUNGA COASTAL UNIONI.


Klabu ya Coastal Union toka mjini Tanga imeendelea kukiboresha kikosi chake baada ya hivi punde kufanikisha usajili wa golikipa Said Lubawa kutoka JKT Oljoro.
Lubawa amesaini mkataba wa miaka miwili (2) mbele ya makamu mwenyekiti wa timu hiyo ndugu Steven Mguto.

            Lubuwa akisaini mkataba wa kujiunga na Coastal Union.

0 comments:

Post a Comment