Thursday, June 13, 2013

HUKO MANCHESTER CITY HALI SIO NZURI



Manchester City wamepatwa na msiba mzito, baada ya Paka wao anayejulikana kama 'Wimblydon' kufariki dunia kutokana na uzee.
Huyu paka ana sifa za kipekee, aliwahi kumletea Kevin Keegan panya aliyekufa ofisini kwake, na inaaminika ndiye kiumbe hai wa kwanza kumpokea Mario Balotelli alipojiunga na timu hiyo akitokea Inter Milan.
Mario Balotelli na Paka Wimblydon
Paka huyo 'alijiunga' na staff ya Citizen mwaka 1999, na inasemekana ameshakula panya zaidi ya 200 pamoja na lita 100 za maziwa.
A Blues statement said: “It is with great sadness that we announce that the Carrington Club Cat Wimblydon passed away this afternoon RIPWimbly.”
Wimblydon, Manchester City Cat, 1999 (est) – June 11, 2013

0 comments:

Post a Comment