Wednesday, June 5, 2013

DULLYAHAMUA KUTANGULIA NYUMBANI KWAO MAREHEM NGWEA



Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa muda wa siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na afande sele na wananchi kibao maeneo ya nane nane, wakisubiri kuusindikiza mwili wa  marehem kutoka maeneo hayo



0 comments:

Post a Comment