Tuesday, June 11, 2013

2CHAINS AKANUSHA KUIBIWA NA WATU WENYE SILAHA

 
siku mbili tu baada ya habari kuenea kuwa 2chainz ameibiwa walet yake na watu waliokuwa na silaha, leo hii ameibuka na kukanusha habari hizo na kudai kuwa si yeye alieibiwa bali ni mtu mwingine ambae alikuwa nae , na polisi nao wako upande wake .
''hakuwa muathirika wa tukio, alikuwepo eneo la tukio lakini hakuwa muathirika, wameripoti Radio.com.

0 comments:

Post a Comment