Mwanzo wa soka unaweza
kupatikana katika kila uwanja wa jiografia na historia. Wachina, Wajapani, Wakorea
na Waitalia wote walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu.
Wagriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita. Hata hivyo, ni nchini uingerza ambapo umbo la soka lilianza kuibuka wakati mashirikisho mawili (Shirikisho la Mpira wa miguu na Mpira wa Ragbi yalitawanyika. Shirikisho la kwanza lilibakia uingereza.
Mnamo ockitoba1963,Vilabu 11 vya london vilituma wawakilishi katika mkutano wa Freemason ili kijadili na kuweka kanuni zilizokubalika kusimamia mechi zilizochezwa kati yao. Mkutano huu ulipelekea kuanzisha kwa shirikisho la kandanda (Football Association). Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa utumiaji wa mikono kushika mpira na kunyanganya kwa nguvu. Soka na Ragbi zilitawanyika mnamo tarehe hii. Miaka minane baada ya kuanzishwa, Shirikisho la Kandanda FA lilikuwa na wanachama 50. Shindano la kwanza la kandanda lilianza mwaka huo kombe la FA ambalo lilifuatiwa na lile la ligi ya mabingwa miaka 17 baadaye. Wachezaji wawili wa Kilabu ya Darwin, John dove na Fergus suter walikuwa wa kwanza kulipwa kwa mchezo wao. Kitendo hiki kilikuwa mwanzo wa soka ya kulipwa iliyohalalishwa mnamo mwaka wa 1885. Mwamko huu ulipelekea kuanzishwa kwa Mashirikisho ya kitaifa nje ya Uingereza (Great Britain). Baada ya Shirikisho la Kandanda la Uingereza, Mashirikisho yaliyofuatia ni ya scotland (1873), Whales (1875) na Ireland(1880). Kutokana na ushawishi mkuu wa Uingereza katika mataifa ya Dunia, Soka ilizambaa kote duniani.Mataifa mengi mengine yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda kufikia 1904 wakati Shirikisho la mpira Dunian FIFA lilipoanzishwa.Tangia hapo, kandanda ya kimataifa imekuwa ikikua licha ya vikwazo mbalimbali. Kufikia 1912, FIFAilikuwa na uanachama wa Mashirikisho 21, idadi iliyoongezeka na kufika 36 kufikia 1925. Kufikia 1930- mwaka ambapo kwa mara ya kwanza kulikuwa na mashindano ya Kombe la Dunia FIFA ilikuwa na wanachama 41. Idadi hii ilizidi kuongezeka na kufika 51 mnamo 1938 na 76 kufikia 1950. Baada ya Kongamano laFIFA la mwaka 2000, kulikuwa na wanachama 204 na idadi hii inazidi kukua kila mwaka.

Kanuni
Maagizo ya Kandanda hupitiwa na
kufanyiwa mabadiliko kila mwaka (Mwezi wa Julai) na Shirikisho la mpira Duinian FIFA
Mpangilio wa wachezaji
Kuna wachezaji wa aina tatu: Walinzi, Wachezaji wa kiungo na wachezaji wa mbele pamoja na mlinda mlango
ni mmoja kati ya walinzi. Ni uamuzi wa Kocha
kuhusu idadi ya wachezaji wanaocheza kuwa walinda lango, wa kiungo au wa mbele,
ikitegemea mfumo uliotumika. Mfumo wa 4-4-2 umekuwa maarufu miongoni mwa timu
nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji
wanne wa kiungo na wawili wa mbele.
Utunukizi wa Alama
Katika ligi za kitaifa na kimataifa,
alama hutunukiwa kwa timu baada ya mchezo. Timu iliyoshinda hupewa alama tatu
huku timu zilizotoka sare hupewa alama moja kila moja. Ikiwa ni lazima mshindi
apatikane, hasa kwenye meji za finali, mchezo huwa na muda wa ziada kama timu
hizo ziko sare
Iwapo sare hiyo huendelea mchezo huamuliwa kwa mikwaju ya penalty
Shirikisho la Kandanda Duniani
Shirikisho la mpira dunian FIFA
ndilo shirikisho kuu linalosimamia Kandanda duniani. Wanachama wake ni
mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali. Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na
wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano
mbalimbali ya soka kama vile kombe la dunia na pia huwatunuku wachezaji.
Orodha ya Wachezaji Maarufu Duniani
Orodha ifuatayo inaonyesha baadhi ya
wanasoka maarufu Duniani, lakini haiashirii usanjari huu kulingana na ubora.
Wapo wengine wengi ambao hawajatajwa hapa.
- David Beckham wa Uingereza
- Franz Beckenbauer wa Ujerumani
- Gabriel Batistuta wa Arjentina
- Michael Ballack wa Ujerumani
- Pablo Aimar
- Carlos Tevez wa arigentina
- Lionel Messi wa arigentina
- Adriano
- Dennis Bergkamp
- Jared Borgetti wa Mexico
- Fabio Cannavaro
- Roberto Carlos wa brazil
- Ronaldinho wa brazil
- Deco
- Hernan Crespo
- Didier Drogba ivory cost
- Michael Essien wa Ghana
- Samuel Eto wa Cameroon
- Luis Figo
- Steven Gerald wa uingereza
- Thierry Henry wa Ufaransa
- Oliver Kahn, Kipa wa Ujerumani
- Ricardo Kaka
- Roy Keane
- Jurgen Klinsmann
- Miroslav Klose
- Frank Lampard wa uingereza
- Diego Maradona wa arigentina
- Michael Owen
- Alessandro Nesta
- Pele
- Robert Pires
- Rivaldo
- Robinho wa brazil
- Romario
- Ronaldo wa Brazil
- Cristiano Ronaldo wa ureno
- Wayne Rooney wa uingereza
- Ruud Van Nistelrooy
- Patrick Viera
- Zinedine Zidane
0 comments:
Post a Comment