Sunday, June 9, 2013

EURO U-21: ENGLAND MAMBO MAGUMU, ITALY YATINGA NUSU FAINALI BILA KIKWAZO CHOCHOTE!!

LEO GERMANY V SPAIN & NETHERLANDS V RUSSIA
2013_UEFA_European_Under-21_Football_ChampionshipJANA, England iliyosheheni Mastaa Chipukizi wa Ligi Kuu, ilibwagwa nje ya Mashindano ya UEFA kwa Vijana chini ya Miaka 21, EURO U-21, walipotandikwa Bao 3-1 na Norway kwenye Mechi ya KUNDI A na Italy kufuzu kuingia Nusu Fainali kwa kuichapa Israel Bao 4-0.
Leo, zipo Mechi mbili za KUNDI B, kati ya Netherlands na Russia na nyingine ni ile ya Mabingwa Watetezi Spain kucheza na Germany.
ENGLAND 1 NORWAY 3
MAGOLI:
England 1
-57 Dawson [Penati]
Norway 3
-15 Semb Berge
-34 Berget
-52 Eikrem
KIKOSI CHA ENGLAND:
Butland, Smith, Caulker, Dawson (Wisdom-85'), Rose, Henderson, Lowe (Wickham-46'), Chalobah, Ince, Redmond (Shelvey-67'), Zaha
Akiba: Steele, Rudd, Clyne, Wisdom, Lees, Robinson, McEachran, Lansbury, Shelvey, Delfouneso, Sordell, Wickham
ITALY 4 ISRAEL 0
MAGOLI ya Italy:
-18 Saponara
-42 Manolo Gabbiadini
-53 Manolo Gabbiadini
-71 Florenzi
Israel
-37 Golasa Kadi Nyekundu]
RATIBA/MATOKEO:
(SAA za BONGO)
KUNDI A:
Israel 2 Norway 2 (5 June)
England 0 Italy 1 (5 June)
England 1 Norway 3 (8 June)
Italy 4 Israel 0 (8 June)
Israel v England (11 June, Jerusalem, 19:00)
Norway v Italy (11 June, Tel Aviv, 19:00)
Msimamo:
[Kila Timu imecheza Mechi 2]
1 Italy Pointi 6
2 Norway 3
3 Israel 1
4 England 0
KUNDI B:
Spain 1 Russia 0 (6 June)
Netherlands 3 Germany 2 (6 June)
Netherlands v Russia (9 June, Jerusalem, 19:00)
Germany v Spain (9 June, Netanya, 21:30)
Spain v Netherlands (11 June, Petah Tikva, 19:00)
Russia v Germany (11 June, Netanya, 19:00)
Msimamo:
[Kila Timu imecheza Mechi 1]
1 Netherlands Pointi 3 
2 Spain 3
3 Germany 0
4 Russia 0
NUSU FAINALI:
Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A (15 June, Netanya, 18:30)
Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B (15 June, Petah Tikva, 21:30)
FAINALI:
18 June, Jerusalem, 19:00
DONDOO MUHIMU:
-Wachezaji wanaoruhuiwa kushiriki Mashindano haya ni wale waliozaliwa Tarehe 1 Januari 1990 au baada ya hapo.
WASHINDI WALIOPITA:
2011: Spain
2009: Germany
2007: Netherlands
2006: Netherlands
2004: Italy
2002: Czech Republic
2000: Italy
1998: Spain
1996: Italy
1994: Italy
1992: Italy
1990: USSR
1988: France
1986: Spain
1984: England
1982: England
1980: USSR
1978: Yugoslavia
WACHEZAJI BORA WA MASHINDANO YALIYOPITA:
2011: Juan Mata (Spain)
2009: Marcus Berg (Sweden)
2007: Rosyton Drenthe (Netherlands)
2006: Klaas Jan Huntelaar (Netherlands)
2004: Alberto Gilardino (Italy)
2002: Petr Cech (Czech Rep)
2000: Andrea Pirlo (Italy)
1998: Francesc Arnau (Spain)
1996: Fabio Cannavaro (Italy)
1994: Luis Figo (Portugal)
1992: Renato Buso (Italy)
1990: Davor Suker (Croatia)
1988: Laurent Blanc (France)
1986: Manuel Sanchis (Spain)
1984: Mark Hateley (England)
1982: Rudi Voeller (Germany)
1980: Anatoli Demianenko (USSR)
1978: Vahid Halilhodzic (Yugoslavia)

0 comments:

Post a Comment