Tuesday, June 18, 2013

ANGALIA MCHEZAJI WA BARCELONA ALIVYOCHAFUA UWANJA KWA MARA YA KWANZA

Thiago_Alcantara
NAHODHA wa Kikosi cha Spain cha Vijana chini ya Miaka 21, Thiago Alcantara, alipiga Hetitriki katika Kipindi cha Kwanza walipoifunga Italy Bao 4-2 katika Fainali ya EURO U-21 na kutwaa Ubingwa wao wa nne.
Thiago alitangulia kuipatia Bao Spain na Italy wakasawazisha kwa Bao la Ciro Immobile kufuatia pasi ndefu ya Giulio Donati.
JE WAJUA?
-MTOTO wa Mchezaji wa zamani wa Klabu za US Lecce na ACF Fiorentina, Mazinho, ambae alitwaa Kombe la Dunia Mwaka 1994 akiwa na Brazil, ndie Nahodha wa Spain U-21 Thiago Alcántara ambae alizaliwa Kusini mwa Italy???

Lakini Thiago akaipa tena Spain Bao la kuongoza na pia kupiga Bao la 3 kwa Penati.
Hadi Mapumziko Bao zilikuwa 3-1.
Kipindi cha Pili Isco akaifungia Spain Bao la 4 kwa Penati na Fabio Borini kuipatia Italy Bao la pili.
MAGOLI:
Italy 2
-Immobile 10
-Borini 79
Spain 4
-Thiago 6, 31 & 38 (Penati)
-Isco 66 (Penati)
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Spain kutwaa Ubingwa wa Ulaya wa U-21 na ni mara ya 4 kwa wao kutwaa Ubingwa huo.
VIKOSI:
ITALY U21:
01 Bardi, 02 Donati, 06 Caldirola, 13 Bianchetti, 19 Regini, 04 Verratti, 07 Florenzi, 21 Rossi, 09 Immobile, 10 Insigne, 20 Borini
Akiba:
12 Colombi, 22 Leali, 03 Biraghi, 05 Capuano, 08 Marrone, 15 Sansone, 16 Bertolacci, 18 Saponara, 23 Crimi, 11 Gabbiadini, 14 Destro, 17 Paloschi
SPAIN U21:
01 De Gea,  02 Montoya, 05 Bartra,  06 Martinez, 18 Moreno, 03 Illarramendi, 08 Koke, 10 Thiago, 11 Tello, 12 Morata, 22 Isco
Akiba:
13 Marino, 23 Robles, 04 Nacho, 15 Muniesa, 16 Gonzalez, 20 Carvajal, 14 Camacho, 17 Sarabia, 09 Moreno, 19 Muniain, 21 Vazquez
Refa: Jug [Slovenia]
WASHINDI WALIOPITA:
2011: Spain
2009: Germany
2007: Netherlands
2006: Netherlands
2004: Italy
2002: Czech Republic
2000: Italy
1998: Spain
1996: Italy
1994: Italy
1992: Italy
1990: USSR
1988: France
1986: Spain
1984: England
1982: England
1980: USSR
1978: Yugoslavia
WACHEZAJI BORA WA MASHINDANO YALIYOPITA:
2011: Juan Mata (Spain)
2009: Marcus Berg (Sweden)
2007: Rosyton Drenthe (Netherlands)
2006: Klaas Jan Huntelaar (Netherlands)
2004: Alberto Gilardino (Italy)
2002: Petr Cech (Czech Rep)
2000: Andrea Pirlo (Italy)
1998: Francesc Arnau (Spain)
1996: Fabio Cannavaro (Italy)
1994: Luis Figo (Portugal)
1992: Renato Buso (Italy)
1990: Davor Suker (Croatia)
1988: Laurent Blanc (France)
1986: Manuel Sanchis (Spain)
1984: Mark Hateley (England)
1982: Rudi Voeller (Germany)
1980: Anatoli Demianenko (USSR)
1978: Vahid Halilhodzic (Yugoslavia)

0 comments:

Post a Comment