Friday, June 7, 2013

LIGI KUU ENGLAND: LISTI YA WACHEZAJI WANAOWEZA KATIKA VILABU VYOTE YAWEKWA WAZI

WAKIWEMO WACHEZAJI KAMA AKINA  MALOUDA, BENTLEY, ARSHAVIN, GALLAS, BENAYOUN NA WENGINE WENGI
FRANK_MALOUDAWASIMAMIZI wa Ligi Kuu England, BPL, leo wametangaza Listi ya Wachezaji walio kwenye Listi ya Wachezaji Huru toka Klabu zote za Ligi hiyo na miongoni mwao ni Wachezaji maarufu Florent Malouda, David Bentley na Andrey Arshavin.
Malouda, mwenye Miaka 32 na Mchezaji wa Kimataifa wa France, mara ya mwisho kuichezea Chelsea ilikuwa kwenye Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI Mwaka 2012 walipotwaa Ubingwa na baada ya hapo akatupwa kufanya Mazoezi na Timu ya Vijana wa chini ya Miaka 21 huku akiendelea kuzoa Mshahara wake ule ule wa Pauni 80,000 kwa Wiki.
David Bentley alisainiwa na Tottenham kwa Pauni Milioni 15 kutoka Blackburn Rovers Mwaka 2008 lakini hakung’ara na akatupwa kwa Mkopo kwa Klabu ya Kirusi FK Rostov na kisha Blackburn Rovers.
Pamoja na Bentley, mwingine anaeondoka Tottenham kama Mchezaji Huru ni William Gallas ambae alikaa Misimu mitatu baada ya kuhamia hapo kutoka Arsenal kama Mchezaji Huru.
Majina mengine makubwa ambayo yameachwa na Klabu zao ni Andrey Arshavin, aliekaa Arsenal Miaka minne, na Sebastien Squillaci, pia wa Arsenal.
Toka Chelsea waliomwagwa ni Yossi Benayoun wa Israel na Beki wa Portugal Paulo Ferreira.
Huko Stoke City, yule Mtu Spesho kwa Mipira ya kurusha, Rory Delap, pamoja na ambae alishatangaza kustaafu Soka, Michael Owen, na kina Jermaine Pennant, Matthew Upson na Dean Whitehead, wao wote wapo kwenye Listi hii.
LISTI KAMILI:
ARSENAL
Andrey Arshavin, Samir Bihmoutine, Reice Charles-Cook, Denilson, Craig Eastmond, Sead Hajrovic, Conor Henderson, Jernade Meade, Nigel Oldfield Spence-Neita, Joshua Rees, Philip Roberts, James Shea, Sebastien Squillaci, Sanchez Watt
ASTON VILLA
Calum Barrett, Josh Barton, Courtney Cameron, Daniel Devine, Eric Lichaj, Andy Marshall
CHELSEA
Amin Affane, Yossi Benayoun, Abdul Deen-Conteh, Paulo Ferreira, Hilario, Florent Malouda, Archange Nkumu, Ross Turnbull
EVERTON
Per Hammar, Thomas Hitzlsperger, Sam Kelly, Jan Mucha, Phil Neville
FULHAM
Chris Baird, Simon Davies, Mahamadou Diarra, Thomas Donegan, Corey Gameiro, Georgios Karagkounis, James Musa, Richard Peniket, Mladen Petric, Mark Schwarzer, Alex Smith, Csaba Somogyi
LIVERPOOL
Tyrell Belford, Jamie Carragher, James Stephens, Danny Wilson
MANCHESTER CITY
Wayne Bridge, Filippo Mancini, Ryan McGivern, Roque Santa Cruz, Kolo Toure
MANCHESTER UNITED
Reece Brown, John Cofie, Michele Fornasier, Luke Giverin, Luke Hendrie, Luke McCullough, Paul Scholes, Gyliano Van Velzen, Frederic Veseli
NEWCASTLE UNITED
Steve Harper, Yven Moyo, Danny Simpson
NORWICH CITY
Tom Adeyemi, Lee Camp, Olumide Durojaiye, George Francomb, Simeon Jackson, Chris Martin, Ramil Sheriff, Korey Smith, Marc Tierney, Elliott Ward
QPR
Tan Ben Haim, DJ Campbell, Radek Cerny, Frederick Champion, Adam Francis, Try Hewitt, Rob Hulse, Ryan Nelsen, Taylor Louis Parmenter, Tommaso Trani
READING
Nick Bignall, Simon Church, Ian Harte, Noel Hunt, Charlie Losasso, Angus MacDonald, Alex Pearce, Nicky Shorey, Jay Tabb, Joshua Webb, Brett Williams
SOUTHAMPTON
Danny Butterfield, Ryan Dickson, Tommy Forecast, Sam Hoskins, Ben Reeves, Frazer Richardson, Daniel Seaborne, Alberto Seidi
STOKE CITY
Michael Clarkson, Rory Delap, Matthew Gledhill, Jadan Hall, Matthew Lund, Andrew Musungu, Carlo Nash, Michael Owen, Jermaine Pennant, George Rigg, Mamady Sidibe, Matthew Upson, Dean Whitehead
SUNDERLAND
Titus Bramble, Anthony Callaghan, Wade Joyce, Matthew Kilgallon, Ryan Noble, Adam Reed, Ben Wilson
TOTTENHAM
Jack Barthram, David Bentley, John Bostock, William Gallas, Jack Munns, Jake Nicholson
WEST BROM
Marc-Antoine Fortune, Zoltan Gera, Gonzalo Jara Reyes, Romaine Sawyers, Jerome Thomas
WEST HAM
Carlton Cole, Jake Larkins, Gary O'Neil, Jack Powell, Jami Rafati, Eoin Wearen
WIGAN ATHLETIC
Peter Aylmer, Albert Crusat, Franco Di Santo, David Jones, Piscu, Jonathan Lynch, Callum Morris, Filip Orsula, Ronnie Stam, Joshua Sumner, Ryan Watson

0 comments:

Post a Comment