Tuesday, August 20, 2013

VIONGOZI WA CCM SINZA WAKIONA CHA MOTO WAFUNGIWA MILANGO TAZAMA PICHA 7 NA HALI ALISI ILIVOKUWA

  Mlango wa Katibu wa  CCM wa tawi la Sinza E ukiwa umepigiliwa mbao kwa misumari kuzuia uongozi kuingia ndani.

UEFA CHAMPIONZ LIGI: JUMANNE, JUMATANO RAUNDI YA MCHUJO, ARSENAL KUSONGA?? BADO NI KITENDAWILI!!


UCL_2013_LOGO
JUMANNE na Jumatano Usiku zipo Mechi 10 za kwanza za Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambapo Washindi 10 wa Raundi hii watajumuika na Timu 22 ambazo zimepitishwa moja kwa moja kwenye Droo ya kupanga Makundi na Arsenal ni moja ya Timu inazosaka kuwemo kwenye hizo 10 lakini ni lazima kwanza wawatoe Fenerbahce ya Uturuki

LIGI KUU ENGLAND: MAN CITY WAFANYA MAUAJI!!!! MANCHESTER UNITED v CHELSEA KUCHEZA JUMATATU USIKU


PELLEGRINI-KIDOLE
BOSI mpya wa Manchester City Manuel Pellegrini Usiku huu ameanza himaya yake kwa ushindi mnono baada ya Kikosi chake kuichapa Newcastle Bao 4-0 katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa Msimu wa 2013/14 iliyochezwa Uwanja wa Etihad.

PAMOJA NA KUTOKUWA NA TIMU RASMI - JUMA KASEJA ASEMA MAMBO MAZURI KWAKE NA GAMBIA

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu nchini humo.

Wednesday, August 7, 2013

Tazama picha za Mtoto wa Usher Raymond anusurika kufa na mama mzazi afungua mashtaka kudai kurudishiwa watoto wake


Mtoto a Usher Raymond mwenye miaka 5 amewahishwa  hospitali kitengo cha watu mahututi (ICU) baada ya kunusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea. Raymond V alikuwa na shangazi yake ndani ya pool lililopo nyumbani pale alipokwama katika tundu la pool hiyo alipokuwa akijaribu kufata toy.

TEVEZ AKATA TAMAA NA ARGENTINA, NUSURA ASTAAFU SOKA!!

CARLOS_TEVEZ-AUG7
STAA kutoka Argentina Carlos Tevez amekataa tamaa kabisa ya kurudi kwenye Timu ya Taifa ya Argentina na nusura astaafu Soka kama si kutokea Juventus ya Italy iliyomnunua Mwezi Juni.