Thursday, June 13, 2013

VIDEO MPYA YA MAY BABY / QUICK ROCKA FEAT SHAAH NA NGWEA IPO NJIAN


 
Wengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Quick  amesema kuwa ngoma mpya ambayo amehaidi kuwa atachana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa ameachia teaser ya video ya wimbo huo, model akiwa ni Hamisa Mobet.

0 comments:

Post a Comment