Thursday, June 6, 2013

MAZISHI YA NGWEA YAKAMILIKA MENEO YA KIHONDA MKOANI MOOGORO



 Hatimae leo hii, msanii Albert Mangwea, amefikishwa katika nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi.
 
watu wakusanyika kumlaza Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele

 
M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro
 
Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga marehem Albert Mangwea


 Ni maelufu ya watu wakiwa kwenye msitali wakienda kutoa salamu za mwisho

0 comments:

Post a Comment