Sunday, June 16, 2013

KOMBE LA MABARA 2013: NEYMAR AANZA NA JAPAN 3-0!

FIFA_CONFEDERATION_CUP_BRAZIL_2013WENYEJI Brazil Jana Usiku walianza kwa kishindo Mechi yao ya KUNDI A iliyochezwa
Estadio Nacional de Brasilia Mjini Brasilia kwa kuwatandika Mabingwa wa Asia Japan Bao 3-0.
Bao za Brazil zilifungwa na Neymar, kwa Bao safi sana la Dakika ya 3 tu, na Paulinho kupiga Bao la Pili katika Dakika ya 48 na Jo kufunga la mwisho katika Dakika za Majeruhi.
Leo Usiku zipo Mechi mbili kati ya Mexico v Italy, KUNDI A, na kufuatiwa na ya KUNDI B kati ya Mabingwa wa Dunia Spain v Uruguay.
VIKOSI:
BRAZIL: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Oscar, Gustavo, Paulinho, Fred, Neymar, Hulk.
Akiba: Jefferson, Fernando, Lucas Moura, Hernanes, Dante, Filipe Luis, Jean, Rever, Bernard, Jo, Jadson, Cavalieri.
JAPAN: Kawashima, Konno, Nagatomo, Uchida, Yoshida, Endo, Honda, Kiyotake, Kagawa, Hasebe, Okazaki.
Akiba: Nishikawa, Inoha, Gotuko Sakai, Havenaar, Hosogai, Nakamura, Kurihara, Maeda, Inui, Takahashi, Hiroki Sakai, Gonda.
Refa: Pedro Proenca (Portugal)
KOMBE LA MABARA
MFUMO & RATIBA:
MAKUNDI:
KUNDI A:
-Brazil
-Japan
-Mexico
-Italy
KUNDI B:
-Spain
-Uruguay
-Tahiti
-Nigeria
VIWANJA:
-Estadio Mineirao - Belo Horizonte
-Estadio Nacional de Brasilia - Brasilia
-Estadio Castelao - Fortaleza
-Arena Pernambuco - Recife
-Estadio Do Maracana - Rio de Janeiro
-Arena Fonte Nova - Salvador
RATIBA/MATOKEO:
JUNI 15
Brazil 3 Japan 0
JUNI16
Saa 4 Usiku
Mexico v Italy [Rio De Janeiro]
Saa 7 Usiku
Spain v Uruguay [Recife]
JUNI 17
Saa 4 Usiku
Tahiti v Nigeria [Belo Horizonte]
JUNI 19
Saa 4 Usiku
Brazil v Mexico [Fortaleza]
Saa 7 Usiku
Italy v Japan [Recife]
JUNI 20
Saa 4 Usiku
Spain v Tahiti [Rio De Janeiro]
Saa 7 Usiku
Nigeria v Uruguay [Salvador]
JUNI 22
Saa 4 Usiku
Japan v Mexico [Belo Horizonte]
Italy v Brazil [Salvador]
JUNI 23
Saa 4 Usiku
Nigeria v Spain [Fortaleza]
Uruguay Tahiti [Recife]
NUSU FAINALI
JUNI 26
[Belo Horizonte]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi A v Mshindi wa Pili B
JUNI 27
[Fortaleza]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi B v Mshindi wa Pili A
MSHINDI WA TATU
JUNI 30
[Salvador]
[SAA 1 USIKU]
FAINALI
JUNI 30
[Rio De Janeiro]
 
LEO NI MEXICO v ITALY  SPAIN V URUGUAY!WWW.THESUPERONENEWS.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment