Wednesday, June 5, 2013

HUYU NDIO MAMA MZAZI WA NGWEA WAWEZA CHUKUA MDA WAKO MZURI KUMFAHAMU

Akiwa katika hali ya masikitiko ya kumpoteza mwanae na msanii pia  wa kizazi kipya cha mziki wa bongo flava hapa Tanzania eee mola ulaze mahali pema peponi mwili wa marehemu huyu 

NaHii  ndio picha sahii ya  mama mzazi wa kipenzi chetu marehem Ngwear akiwa na uzuni nyumbani kwake kihonda Morogoro

0 comments:

Post a Comment