Madawa ya kulevya. Rehema: Mambo poa tu. Nani mwenzangu?
Ijumaa Wikienda: Unachati na gazeti la Ijumaa Wikienda. Kuna taarifa zimezagaa Bongo kuwa umekamatwa na unga China. Hizi habari zina ukweli?
Rehema: Ni kweli nilikuwa mahabusu. Mateso ya huko wee acha tu. Nilipata kesi lakini si yangu ila namshukuru Mungu nimetoka salama. Ijumaa Wikienda: Kesi inahusu nini na kama ilikuwa haikuhusu kwa nini ulikamatwa?.................................................
Real
Madrid wamepoteza El Derbi Madrileno baada ya kuchwapwa kwao Santiago
Bernabeu Bao 1-0 na Atletico Madrid ambao Jana walimaliza ile Rekodi ya
kutoifunga Real kwenye La Liga tangu Mwaka 1999 zikiwa ni Mechi 23.
Tottenham wametoka Sare Bao 1-1 na Chelsea na kuipiku Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu England
Gylfi Sigurdsson ndie alieifungia Spurs
Bao katika Kipindi cha Kwanza baada ya ushirikiano mzuri kati ya
Christian Eriksen na Roberto Soldado na Mpira kumfikia yeye.
SIRI imefichuka! Kumbe
yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi
wa umeme wa nyumbani,