Saturday, June 29, 2013

WANYAMA SAFARI YAIVA ENGLAND

WANYAMA

MCHEZAJI wa Kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama, anaechezea Klabu ya Scotland, Celtic, yuko mbioni kujiunga na Klabu za BPL, Barclays Premier League baada ya Ofa kadhaa kumiminika za kumnunua.

KOMBE LA MABARA: FAINALI YA KESHO REFA ATANGAZWA!!


REFA_Bjorn_Kuipers 



















BJORN KUIPERS, Refa kutoka Holland, ndie atakaechezesha Fainali ya Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara itakayochezwa Jumapili Usiku Uwanja wa Maracana huko Rio De Janeiro kati ya Wenyeji Brazil na Mabingwa wa Dunia Spain.

MME WA MTU AFUMANIWA MENGI YAWEKWA WAZI

Mke akiwa amepigwa butwaa
 KATIKA kuonesha kuwa bado uaminifu kwa wapenzi ni tatizo, juzikati lilitokea fumanizi la aina yake baada ya mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Flaviana kumnasa mwanaume aliyedaiwa ni mumewe, aitwaye Aron akifanya mapenzi na mwanamke mwingine.

TAZAMA PICHA10 ZA MSICHANA ANAYEWATEGA WANAUME YAMKUTA MAZITO




  Ni aibu iliyoje! Mrembo mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, alikatikiwa mshipa wa aibu na kuvua nguo katikati ya sherehe ya ‘birthday’ ya mtoto

CHELSEA: WAELEKEA KUZURI KWA CAVANI MCHEZAJI APELEKWA SEVILLA!

EDINSON_CAVANI 
PILIKAPILIKA za Uhamisho wa Wachezaji zinaendelea na Klabu iliyopanda Daraja Msimu huu, Hull City, imemsaini Mchezaji wa Kimataifa wa Egypt, Ahmed Elmohamady,

JOKATE ACHOKA KUFICHA SIRI,AWEKA KILA KITU HADHARANI

MWANAMITINDO daraja la kwanza Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amemwanika mwanaume mpya mtandaoni huku wakiwa wamepozi katika staili ya wapendanao.

KOMBE LA MABRA Andres Iniesta Spain pamoja na -Neymar Brazil ndani ya kuwania tuzo YA dhahabu

ADIDAS_GOLDEN_BALLFIFA leo imetangaza Majina ya Wachezaji 6 watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la Mabara linalochezwa huko Nchini Brazil ambapo Mshindi wake atatunukiwa Mpira wa Dhahabu wa Adidas.

TAZAMA PICHA 11 ZA CHRISTIAN BELLA AKIKALIBISHWA RASIMI DIAMOND MUSICA BAND

Bendi ya Diamond Musica ikiwajibia stejini wakati wa onyesho lao la kumkalibisha Christian Bella Nchini lilio fanyika Mzalendo Pub Jijini Dar

Friday, June 28, 2013

ALCANTARA AMFANYA MOYES KUKOSA AMANI

ALCANTARA_n_BAINES


MENEJA MPYA wa Manchester United, David Moyes, anaanza kazi yake rasmi Jumatatu ijayo na zipo taarifa kuwa Wiki hiyo hiyo atakamilisha Uhamisho wa Thiago Alcantara kutoka Barcelona na Leighton Baines kutoka Everton.

KLABU ZALILIA ZAWADI ZAO ZA LIGI!! MAKUBWA YASEMWA




YANGA_MJENGO

KOMBE LA MABARA: SOMA RATIBA KAMILI YA FAINALI KATI YA BRAZIL v SPAIN!


SPAIN_v_ITALY-PENATI_YAOTA_MBAWA

Kiongozi: 'akataa kujisalimisha' makubwa yamkuta


Kiongozi wa alshabaab Dahir Aweyes

Umoja wa Mataifa uliripoti kuwa bwana Aweys alijisalimisha kwa maafisa wa usalama nchini Somalia baada ya kutofautiana na kiongozi mkuu wa Al shabaab.

Spain beat Italy 7-6 on penalties to reach the final

Spain: Will face Brazil in Sunday's final 
 
Spain: Will face Brazil in Sunday's final

Spain booked a final date with Brazil in the Confederations Cup after beating Italy 7-6 on penalties following a 0-0 draw on Thursday night.

YANGA WAMNASA GOLIKIPA KUTOKA SIMBA

Wednesday, June 26, 2013

MTOTO WA MNADHIMU WA JWTZ YUPO MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI




ROBIN VAN PERS : AAMUA KUFUNGUKA MAN UNITED! LITAKALO KUWA NA LIWE!!!!

RVP-BUTI_LA_DHAHABU 
RVP, akihojiwa na Jarida la Klabu yake Manchester United liitwalo ‘INSIDE UNITED’, aliongelea Msimu wake wa kwanza na Klabu hiyo, ule wa 2012/13, na kutaja Matukio 20 yaliyomgusa.

KOMBE LA MABARA: PAULINHO AWA MUKOZI WA BRAZIL

PAULINHO


































KONA ya Dakika ya 86 ya Neymar ilimkuta Kiungo Paulinho aliejitwika kichwani na kuipa Brazil Bao la pili na la ushindi na kutinga Fainali ya Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara walipoifunga Uruguay Bao 2-1 katika Mechi ya Nusu Fainali iliyochezwa Estadio Mineirao, Mjini Belo Horizonte, Nchini Brazil.

Real Madrid striker Gonzalo Higuain close to Arsenal switch, says agent


Gonzalo Higuain: Closer to Arsenal switch
Gonzalo Higuain: Closer to Arsenal switch
Gonzalo Higuain's agent and brother, Nicolas Higuain, says that the Real Madrid striker is closing in on a move to Arsenal.

MESSI MAMBO BADO MAGUMU KUKWEPA KWENADA JELA





LIONEL_MESSI-HUZUNI
STAA Lionel Messi ameripotiwa kulipa kiasi cha ziada ya Kodi kwa Miaka ya 2010 na 2011 huko Nchini Spain ambacho ni Euro Milioni 10.

Sudani ya Kusini kupata suluhu zogo la mafuta


Ramani ya Sudan Kusini

Sudan Kusini imepiga hatua kubwa katika azma yake ya kutaka kuuza mafuta katika mataifa yaliyo eneo la kusini.

RONALDO ATAKA KURUDI NYUMBANI AZUNGUMUZA NA WAKURGENZI WA MAN U,STEVEN GERRARD AKALIBISHWA UPYA

RONALDO_na_TUZO

Mzee Mandela afanyiwa maombi kwanza


Mandela anaendelea kupokea matibabu hospitalini

Fahamu Ommy Dimpoz asema yeye na wao Canada na USA


SIMBA :JUMA KASEJA KIKAANGONI





Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Zacharia Hans Pope umetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango  wao namba moja na mkongwe wa timu hiyo  Juma Kaseja.


TEVEZ TAYALI AANGALIA KAMA JEZI 10 INAMTOSHA JUVENTUS

   

Monday, June 24, 2013

MMILIKI AC MILAN AHUKUMIWA JELA MIAKA 7!!

BUNGA_BUNGA

ALIEKUWA Waziri Mkuu wa Italy ambae pia ndie Mmiliki wa Klabu ya AC Milan Silvio Berlusconi amehukumiwa Kifungo cha Miaka 7 jela.

Corinthians wait to hold talks with Tottenham target Paulinho

Paulinho: Corinthians midfielder says Spurs is a 'fantastic opportunity'
Paulinho: Corinthians midfielder says Spurs is a 'fantastic opportunity'

Corinthians are waiting to hold talks with Paulinho after the midfielder claimed it would be a 'fantastic opportunity' to play for Tottenham Hotspur.

Andre Villas-Boas reiterates his belief Gareth Bale will stay at Spurs

Andre Villas-Boas and Gareth Bale enjoy a fine working relationship
Andre Villas-Boas and Gareth Bale enjoy a fine working relationship

Andre Villas-Boas has again expressed his confidence that Gareth Bale will stay at Tottenham this summer.

HIZI NDIZO PICHA 10 ZA BARNABA KUPOTEZA FAHAMU WAKATI WA MAZISHI YA MAMA YAKE MPENDWA

Mwanamuziki Elias Barnabas 'Barnaba' akiweka udongo katika kaburi la mama yake mzazi, Mariamu  Arubeth.

FAHAMU KILICHOSABABISHA OMMY DIMPOZ KUPIGWA MAKOPO DODOMA


TAARIFA TOKA TFF:MCHEZAJI WA ZAMANI WA TAIFA STARS AAGA DUNIA

TFF_LOGO12
Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Cosmopolitan na Taifa Stars, Mathias Kissa (84) kilichotokea leo alfajiri (Juni 24 mwaka huu) kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

Sunday, June 23, 2013

IONE PICHA YA NEYMAR NA BECKHAM WAKIWA WATOTO WALICHOKUWA WAKIFANYA


 

KOMBE LA MABARA: SPAIN, URUGUAY ZIPO NUSU FAINALI, NIGERIA MAMBO YAGONGA MWAMBA NA TAHITI YAWA TISHIO


FIFA_CONFEDERATION_CUP_BRAZIL_2013KUNDI B la Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara yanayochezwa huko Nchini Brazil leo walicheza Mechi zao za mwisho na Mabingwa wa Dunia Spain kuichapa Nigeria Bao 3-0 na Uruguay kuibamiza Tahiti Bao 8-0.

ANGALIA PICHA 12 ZA MTU ALIYENUSURIKA KIFO BAADA YA KUGONGA NYUMBA AKAINGIA HADI CHUMBANI AKIJIFUNZA KUENDESHA GARI MORO

GUARDIOLA & BAYERN: KAZI SASA IMEANZA, KIMBEMBE CHA KWANZA KWA PEP NI JULAI 24 NA BARCA!!

PEP_GUARDIOLABAYERN_MUNICH_LOGO
KOCHA MPYA wa Bayern Munich, Mabingwa wa Ulaya na Germany, Pep Guardiola, sasa anaanza rasmi kibarua chake kwa kuzungumza na Wanahabari hapo kesho Jumatatu.

JULAI 27 GERMAN SUPER CUP: BAYERN v DORTMUND!

ANGALI KILICHOTOKEA KATIKA TAMASHA LA SIKU YA MUZIKI DUNIANI JIJINI DAR ‏Kbaadhi ya wasanii waliokuwepo kala Jeremiah,Barnaba,Ben Pol na wenine wengi




 

MCHEZAJI WA ZAMANI WA ARSENAL TONY ADAMS AIAMBIA ARSENAL BADOSANA UBINGWA ,ATOA USHAURI

TONY_ADAMS_N_SOL_CAMPBELLTONY ADAMS, Nahodha wa zamani wa Arsenal, ameipasulia Klabu yake hiyo ya zamani kwa kuwaambia wao bado sana kufikia hatua ya kutwaa Ubingwa na badala yake wajitahidi kutwaa angalau FA CUP au Kombe la Ligi Vikombe ambavyo pia amedai bado ni vigumu kwao.

SOMA ZAIDI NA UONE PICHA ZAIDI NA UJUMBE MFUPI ALIOANDIKA KWENYE UKURASA WA TWITER BARNABA BAADA YA KIFO CHA MAREHEMU MAMA YAKE.


 

Chelsea and Real Madrid interest flatters Edinson Cavani

Edinson Cavani: The star striker has a £54million buyout clause in his contract
Edinson Cavani: The star striker has a £54million buyout clause in his contract
Edinson Cavani is pleased to be linked with a transfer to Real Madrid or Chelsea but insists he is not being distracted during the Confederations Cup.

Chelsea's Thibaut Courtois loaned to Atletico Madrid for third year

Thibaut Courtois: Third loan spell with Atletico Madrid
Thibaut Courtois: Third loan spell with Atletico Madrid
Chelsea goalkeeper Thibaut Courtois will spend a third season on loan at Atletico Madrid, the Spanish side have announced.

SPAIN, TORRES, NIGERIA NA TAHITI ZIMEJIWEKEA REKODI NYINGINE KWENYE KOMBE LA MABARA BRAZIL

Hizi zifuatazo ni takwimu zilizojitokeza kwenye michezo ya juzi ya FIFA Confederation Cup baina ya Spain vs Tahiti na Uruguay vs Nigeria.